26 C
Dar es Salaam
tigo waungana na uber

Tigo Tanzania na Uber waungana kuleta ofa mpya kwa wateja wao

Kampuni ya mtandao wa simu nchini, Tigo Tanzania imeingia katika makubaliano ya kipekee na kampuni ya teknolojia ya Uber. Kuanzia tarehe 19 Machi 2018,...
Uchaguzi mkuu Kenya 2013

Facebook yapata kashfa nzito kuhusu uchaguzi mkuu wa Kenya

Kampuni inayomiliki mitandao mikubwa ya kijamii (Facebook, Instagram na WhatsApp) imepata kashfa nzito ambayo imesababisha kupoteza thamani yake katika soko kwa dola bilioni 50...

Gari la Uber linalojiendesha limegonga na kuua mtembea kwa miguu

Gari la Uber huko kwenye mji wa Arizona Nchini Marekani, limegonga mwanamke aliyekua anatembea kwa miguu kwenye sehemu ya kuvukia na kumuua Gari hilo la...
App Ya Spotify

Sasa Spotify imeanza kupatikana huko nchini Afrika Kusini

Spotify imeachiwa na kuanza kutumika rasmi huko Afrika Kusini. Kwa Pamoja na watumiaji milioni 159, wa nchi zilizoendelea Spotify ni mtandao wa kusikiliza muziki wa...
tigo-mastercard-qr

Tigo yaungana na Selcom na Mastercard kuleta huduma ya Mastercard QR Tanzania

Kampuni ya simu nchini Tanzania Tigo, Selcom na Mastercard waungana kuleta huduma ya Masterpass Quick Response (QR) nchini Tanzania kupitia Tigo Pesa. Ifikapo mwezi wa nne...

MITANDAO YETU

827FollowersFollow
492FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
Dar es Salaam
few clouds
26 ° C
26 °
26 °
94 %
1.7kmh
20 %
Wed
34 °
Thu
27 °
Fri
32 °
Sat
32 °
Sun
28 °

Uchambuzi

Maujanja

Social Media