Apple watoa orodha ya Apps zinazoongoza kwa ubora mwaka 2017

1477

Kila mwaka ni tamaduni ya kampuni ya Google na Apple kuonyesha orodha za programu za simu janja zinazoongoza kwenye charti ya mwaka

Orodha hiyo inatengenezwa kutokana na programu hizo kupakuliwa mara nyingi na kutumika zaidi ya programu nyingine mwaka mzima.

Soma Pia Net Neutrality: Uhuru wa utumiaji internet upo HATARINI, Desemba 14

Pia wametoa orodha ya game za simu janja, sinema, vitabu bora za mwaka na orodha zingine.

Programu – Calm

Game – Splitter Critters

Music – Drake (More LIfe)

Sinema – Moana

TV series – Game Of Thrones

Kitabu – The Handmaid’s Tale

 

Kuona orodha nzima tembelea tovuti ya Apple