Bitcoin yashuka bei

815

Bitcoin ni hela ya digitali na mfumo wa malipo duniani kote. Ni sarafu ya kwanza ya digitali(huwezi kuiona au kuishika), pia inafanya bila benki kuu au msimamizi mmoja, Bitcoin imejipatia sifa kutokana na kutoshuka thamani yake tangia ilipotengenezwa.

Bei ya bitcoin imepanda na kushuka tena Jumanne, kuanguka 14% hadi $ 5,920 (£ 4,250) kabla ya kurudi $ 7265 – hadi 6% siku ya awali.

Pia Soma: Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuchaji smartphone yako

Pia Gavana wa bank kuu Agustín Carstens alisema pia Bitcoin ni hatarishi kwa watu kuamini bank na pia hi hatari kwa uchumi duniani.

Maneno yake yaliambatanishwa na maonyo kutoka kwa wanauchumi duniani ikiwemo India, US na Korea Kusini. Facebook nayo imefunga matangazo yote ya bitcoin na fedha za kidigital(Cryptocurrent) kwenye mitandao yao. Pia jumatatu bank ya Lloyds nad Virgin wamekataza wateja wake kutumia kadi zao za bank kununua bitcoin pia hawata husika na kama bitcoin ikiwapa hasara.

Tuachie maoni yako hapo chini