24.5 C
Dar es Salaam

Samsung warekebisha muonekano wa ‘Emoji’ zake kwenye Android Oreo

Katika miaka ya nyuma, Samsung wamekua na muonekano wa Emoji ambao haupendezi, mara nyingi umeleta maana tofauti kati ya wanaowasiliana kwa ujumbe mfupi Emoji ambayo...

Samsung ipo karibuni kuzindua Galaxy S9

Kama ilivyo kawaida ya Samsung, mwezi ujao wa Februari watazinduo toleo jipya la Galaxy s9. Inasemekana toleo hilo litakua na kamera iliyoboreshwa kwa teknolojia...

Matoleo bora ya simu kwa mwaka 2017

Mwaka 2017 umeisha, na matoleo ya simu yalikua mengi kama kawaida, hizi ni simu bora zilizotoka na kila moja inangara katika kipengele chake. Teknolojia...

Datally: Mwokozi wa matumizi yako ya data kutoka Google

Google imezindua app nyingine katika simu janja za Android na imeundwa kwa lengo la kuweza kudhibiti matumizi ya data kwa watumiaji wake. App hiyo iliyopewa...

Microsoft Edge sasa kupatikana kwa watumiaji wa Android na iOS

Mnamo mwezi uliopita Microsoft walitangaza nia yao ya kukileta kivinjari cha Edge kwa watumiaji wa Android na iOS ili kuweza kufikia watumiaji wengi zaidi. Mara...

SKYPE: Microsoft wamebadilisha muonekano wote wa programu hiyo

Programu ya Skype ambayo ilipata umaarufu wa kutumia mawasiliano ya uso kwa uso na unaeongea nae, wameleta mabadiliko ya muonekano kwenye simu janja na...

ZTE wazindua simu janja mpya yenye uwezo wa kujikunja

Kampuni ya simu ZTE hapo wiki iliyopita ilizindua simu janja mpya, Axon M. Simu janja hiyo ina skrini mbili ambazo zimegawanywa katika pande mbili...

GOOGLE PLAY: Yaruhusu kujaribu programu za simu janja kabla ya kupakua

Google Play wanaongeza kionjo kipya cha 'Try Now' ambacho kilitambulishwa mnamo 2016 kwenye mkutano wa Google I/O, ambao ni kwaajili ya kujuza 'developers' wote...

KRACK: Taarifa yatolewa simu janja hasa Android na kompyuta zote zenye...

Mwana usalama wa intaneti Mathy Vanhoef alitoa maelezo ambayo yaliwapa hofu watu wengi, kutokana na wengi kutojua ni jinsi gani vifaa vyote vinavyotumia Wi-Fi...

Jinsi ya kutumia ‘Gmail’ moja na watu wengine bila kuwapa ‘password’

Pengine wewe ni mtu mwenye ‘password’ moja kila mahala, na una barua pepe ya biashara ambayo unahitaji kutumia na watu, ili mpate email wote....
155FansLike
827FollowersFollow
495FollowersFollow

Recent Posts

Dar es Salaam
broken clouds
24.5 ° C
24.5 °
24.5 °
92 %
3.9kmh
76 %
Sun
30 °
Mon
28 °
Tue
28 °
Wed
30 °
Thu
28 °