24.5 C
Dar es Salaam

TAFITI: Asimilia 80 ya vijana wanapendelea iPhone kuliko Android

Uthamani wa brand (brand value) ya Apple, kampuni kubwa ya teknolojia iko mbali zaidi ya simu nyingine yoyote ya Android, na hiyo inashuhudiwa kutokana...

Sasa Spotify imeanza kupatikana huko nchini Afrika Kusini

Spotify imeachiwa na kuanza kutumika rasmi huko Afrika Kusini. Kwa Pamoja na watumiaji milioni 159, wa nchi zilizoendelea Spotify ni mtandao wa kusikiliza muziki wa...

Apple iPhone X kufikia tamati mwaka 2018

Utabiri wa mchambuzi aliyejulikana kama Ming Chi-Kuo unasema kwamba iPhone X itakabiliwa na "mwisho wa maisha" katika majira ya joto 2018 na haitokua na...

Matoleo bora ya simu kwa mwaka 2017

Mwaka 2017 umeisha, na matoleo ya simu yalikua mengi kama kawaida, hizi ni simu bora zilizotoka na kila moja inangara katika kipengele chake. Teknolojia...

Apple watoa orodha ya Apps zinazoongoza kwa ubora mwaka 2017

Kila mwaka ni tamaduni ya kampuni ya Google na Apple kuonyesha orodha za programu za simu janja zinazoongoza kwenye charti ya mwaka Orodha hiyo inatengenezwa...

Apple yainunua Shazam kwa dola milioni 400

Kampuni ya Apple wameinunua Shazam, programu ambayo bado ndio njia bora ya kutambua nyimbo ambazo huzifahamu kwa haraka. Mtandao wa TechCrunch ulitoa taarifa za awali za...

Microsoft Edge sasa kupatikana kwa watumiaji wa Android na iOS

Mnamo mwezi uliopita Microsoft walitangaza nia yao ya kukileta kivinjari cha Edge kwa watumiaji wa Android na iOS ili kuweza kufikia watumiaji wengi zaidi. Mara...

Apple: Tatizo jipya la usalama kwa watumiaji wa kompyuta za Mac

Jumanne ilitambulika kwamba kompyuta za Mac zapata tatizo la kiusalama, inakupa uwezo wa kuingia kwenye kompyuta yeyote bila kujaza sehemu ya 'password' Apple walizungumza na...

iPhone X: Hiki ndo kionjo kipya cha Animoji kinachopendwa sana

Hapo mwezi wa Septemba, Apple walitambulisha simu mpya za iPhone ambazo ni iPhone 8, iPhone 8 Plus na iPhone X. Katika utambulizi huo walielezea...

Samsung yawadhihaki iPhone katika tangazo lao jipya

https://youtu.be/R59TevgzN3k Ushindani wa kibiashara kati ya makampuni ya simu za iPhone na Samsung umeendelea kupamba moto huku ukihusisha kutupiana vijembe ili kuweza kuvutia soko kwa...
155FansLike
827FollowersFollow
495FollowersFollow

Recent Posts

Dar es Salaam
broken clouds
24.5 ° C
24.5 °
24.5 °
92 %
3.9kmh
76 %
Sun
30 °
Mon
28 °
Tue
28 °
Wed
30 °
Thu
28 °