24.5 C
Dar es Salaam

Google ipo karibuni kulipa faini kubwa kwa kuvunja sheria za Umoja...

Kampuni kubwa duniani ya Google inayoongoza katika uwanja wa huduma za kwenye intaneti na kumiliki mfumo wa Android, YouTube, Google Search, Chrome, Gmail na...

Huduma za mawasiliano kwa Ethiopia na Eritrea zafunguliwa, baada ya mgogoro...

Ethiopia imerudisha mawasiliano ya simu na huduma zote na jirani wao nchi ya Elitrea, na kuwatumia ujumbe mfupi wananchi milioni 57. Ujumbe huo ulisema "Ethiopia...

Jeff Bezos ni mtu tajiri zaidi duniani, utajiri wake wafikia ...

Utajiri ya muanzilishi wa Amazon.com Inc sasa umefikia $150 bilioni huko New York, Jumatatu hii, kwa mujibu wa Ripoti ya Bloomberg Billionaires. Hiyo ni...

Wezi waiba iPhone zenye thamani ya $19,000 kwenye duka la Apple

Kwa mujibu wa ripoti za hivi karibuni, kikundi cha wezi waliiba iPhones zenye thamani ya Dola 19,000 (TZS 43 milioni) kutoka kwenye duka la...

Teknolojia ya 3D Printing kusaidia miguu ya bandia huko Togo na...

Teknolojia ya uchapishaji wa 3D imeanza kusaidia wananchi wenye mguu mmoja kwa kuwatengenezea miguu ya bandia unaoendana maumbile na hitaji la kila mgonjwa. Shirika la...

KENYA: Itaanza kutumia maputo ya Google kusambaza huduma ya internet vijijini

Kenya inamkakati wa kutumia huduma ya 'Project Loon' kutoka kwa kampuni ya Alphabet. Mradi huo unasambaza miale ya intanet kwa kasi kubwa kwa kutumia...

Roboti Sophia akutana na waziri mkuu wa Ethiopia na kwenda maonyesho...

Sophia ni roboti aliyepata umaarufu na kupewa uraia wa Saudi Arabia, kwa uwezo wake wa kuongea, kujibu maswali, ishara za uso, na kusoma hisia...

Kampuni ya Bakhresa kuja na mtandao wa Azam Telecom

Sekta ya mawasiliano nchini Tanzania hivi karibuni itakua na mshindani mpya baada ya kampuni ya Bakhresa Group of Companies(BCG) kutangaza kuingia katika biashara hiyo. Kampuni...

Microsoft Edge kuja na kizuia matangazo kwenye iOS na Android

Shirika kubwa duniani Microsoft limetengeneza kizuia matangazo (adblocker) cha moja kwa moja katika kivinjari cha Microsoft Edge kwa watumiaji wa iOS na Android. Kizuia matangazo...

Mwanafunzi Kenya aunda gari la nishati ya umeme wa jua

Mwanafunzi mmoja nchini Kenya ameongezeka katika list ya wavumbuzi wa hivi karibuni wa magari ya nishati ya jua na uvumbuzi huo umekua kivutio katika...
155FansLike
827FollowersFollow
495FollowersFollow

Recent Posts

Dar es Salaam
broken clouds
24.5 ° C
24.5 °
24.5 °
92 %
3.9kmh
76 %
Sun
30 °
Mon
28 °
Tue
28 °
Wed
30 °
Thu
28 °