24.5 C
Dar es Salaam

Facebook yafuta akaunti feki milioni 583 katika kipindi cha miezi mitatu

Huenda mtandao wa kijamii wa Facebook upo katika mchakato wa kujisafisha mara baada ya kashfa nzito iliyopata siku za hivi karibuni. Facebook imesemekana kufuta akaunti...

Tanzania imeleta sheria na taratibu kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii

Tanzania wameingia kwenye sheria mpya ya utaratibu wa kuendesha mitandao ya kijamii na blogu, Utaratibu huo ulipendekezwa na TCRA mnamo mwaka 2017, na kufikia...

Kashfa ya Facebook yawafanya watu kama Elon Musk kufuta account zao

Facebook ikiendelea kupewa tuhuma nyingi kuhusiana na kutumia data za watu vibaya(Soma Facebook yapata kashfa nzito kuhusu uchaguzi mkuu wa Kenya na USA), na...

Facebook yapata kashfa nzito kuhusu uchaguzi mkuu wa Kenya

Kampuni inayomiliki mitandao mikubwa ya kijamii (Facebook, Instagram na WhatsApp) imepata kashfa nzito ambayo imesababisha kupoteza thamani yake katika soko kwa dola bilioni 50...

WeChat yafikisha akaunti bilioni 1 dunia nzima

Mtandao wa kijamii kutoka China, WeChat, ambao hutumiwa kwa kila kitu kutoka kuzungumza na marafiki, kukata tiketi za kusafiria na kufanya malipo, umefikia akaunti...

Snapchat yenye muonekano mpya inawapa watu wengi hasira

Programu ya Snapchat iliyo na umaarufu kwa vijana, imebadilisha muonekano wake wa programu nzima na kuwaacha watumiaji wakipata hasira, imezidi kuwa ngumu kutumia 'Stories' sasa...

Jinsi ya kuzima ‘Last Online’ kwenye Instagram

Leo tutatazama jinsi ya kuzima "Last Online", kipengele kipya kilichotambulishwa na mtandao wa Instagram majuma kadhaa yaliyopita. Njia hii itakuwezesha kuzima 'last online' ili...

WhatsApp Business sasa inapatikana, ni maalum kwa biashara

WhatsApp wameleta programu nyingine mpya maalum kwa wafanya biashara, itakayo saidia mawasialiano kati ya kampuni na wateja wako WhatsApp business inakupa sehemu ya kujaza profile...

Facebook yatengeneza toleo lingine la Messenger kwa ajili ya watoto

Facebook imetangaza rasmi kuachiwa kwa toleo lingine la app ya Messenger ambayo limeundwa kwa dhumuni la matumizi ya watoto. Toleo hilo jipya la Messenger limepewa...

WhatsApp ya Android kuja na vipengele hivi vipya

Wiki kadhaa zilizopita tuliona programu ya kutuma jumbe za papo kwa papo, WhatsApp ikipata kipengele kipya kinachojulikana kama 'Delete for Everyone'  WhatsApp ya Android kuja...
156FansLike
827FollowersFollow
495FollowersFollow

Recent Posts

Dar es Salaam
broken clouds
24.5 ° C
24.5 °
24.5 °
92 %
3.9kmh
76 %
Sun
30 °
Mon
28 °
Tue
28 °
Wed
30 °
Thu
28 °