Elon Musk aonyesha mpango wa huduma za usafiri wa chini ya dakika 30 kwa roketi

605

Kwa muda mfupi utakua umefika majiji makubwa kama Dubai, Singapore, Hongkong, New York na mengineyo. Kwa bei ndogo karibu na usafiri wa ndege.

 

Elon Musk akiwa mkutano wa viwanda, ameelezea mipango yake ya kusafirisha watu kwenda sayari ya Mars, nakusema kampuni yake itaanza kutoa huduma ifikapo mwaka 2024. Vile vile akazungumzia.

Soma pia: WhatsApp imezuiwa matumizi nchini China, orodha ya mitandao ni zaidi ya 3,000 imezuiwa hadi sasa

Kusafirisha watu kwa roketi, na kusema itatumia spidi kubwa sana ya 18,000 miles/hour na itaweza kubeba watu 80 hadi 200 kwa safari moja. Na kuonyesha mfano wa huduma hiyo kwa video.