Huduma za mawasiliano kwa Ethiopia na Eritrea zafunguliwa, baada ya mgogoro wa miaka 20

129

Ethiopia imerudisha mawasiliano ya simu na huduma zote na jirani wao nchi ya Elitrea, na kuwatumia ujumbe mfupi wananchi milioni 57.

Ujumbe huo ulisema “Ethiopia Telecoms announces with happiness the restoration of telephone service to Eritrea.”

kampuni za huduma ya mawasiliano zilimaliza migogoro yao ambayo ilikuwepo kwa miaka 20, ni tangu 1998 majirani hao hawawasiliani. Wengi wamefurahishwa na kitendo hicho. Pia katika mchakato huo wa huduma za simu, huduma za ndege zitaendelea kwa nchi hizo mbili bila migogoro tena.

Soma Pia:Teknolojia ya 3D Printing kusaidia miguu ya bandia huko Togo na Madagascar

Hayo yote yamewezeshwa na waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed na raisi Isaias Afeworki wa Eritrea kufikia makubaliano ya amani kati ya marijrani hao

Ongea na mimi kwenye Twitter!