Matoleo bora ya simu kwa mwaka 2017

1796

Mwaka 2017 umeisha, na matoleo ya simu yalikua mengi kama kawaida, hizi ni simu bora zilizotoka na kila moja inangara katika kipengele chake. Teknolojia mpya za simu janja zimevumbuliwa. Apple waleta Face ID, Wireless charging, Animoji na zaidi.

7

Simu bora kwa kurekodi video (LG V30)

RAM – 4GB

Storage – 64GB

Camera Mbili Nyuma – 16MP

Camera Mbele – 5MP

Battery – 3300mAh

Skrini – 6.0 inch (1440 x 2880 Pixels)

Android – 7.1.2 ( Nougat )

6

Simu bora kwa kutunza charge (ASUS ZenFone 3)

RAM – 3GB

Storage – 32GB

Camera Nyuma – 13MP

Camera Mbele – 5MP

Battery – 4100mAh

Skrini – 5.2 inch (720 x 1280 Pixels)

Android – 6.0.1 ( Marshmallow ) hadi 7.0 (Nougat)

 

5

Simu bora kwa camera nzuri (Google Pixel 2 XL)

RAM – 4GB

Storage – 64/128GB

Camera Nyuma – 12MP

Camera Mbele – 8MP

Battery – 3520mAh

Skrini – 6 inch (1440 x 2880 Pixels)

Android – 8.0 (Oreo)

 

4

Simu bora yenye skrini kubwa (Galaxy Note 8)

RAM – 6GB

Storage – 64/128/256 GB

Camera Nyuma – 12MP

Camera Mbele – 8MP

Battery – 3300mAh

Skrini – 6.3 inch (1440 x 2960 Pixels)

Android – Android 7.1.1 (Nougat) hadi 8.0 (Oreo)

3

Simu bora ya Android ( Galaxy S8 )

RAM – 4GB

Storage – 64GB

Camera Nyuma – 12MP

Camera Mbele – 8MP

Battery – 3000mAh

Skrini – 5.8 inch (1440 x 2960 Pixels)

Android – Android 7.1.1 (Nougat) hadi 8.0 (Oreo)

2

Simu bora kwa thamani ( OnePlus 5T )

RAM – 8GB

Storage – 128GB

Camera Nyuma – 16MP

Camera Mbele – 16MP

Battery – 3300mAh

Skrini – 6.01 inch (1080 x 2160 Pixels)

Android – Android 7.1.1 (Nougat)

1

Simu bora kwa ujumla ( iPhone X )

RAM – 3GB

Storage – 64/256GB

Camera Nyuma – 12MP

Camera Mbele – 7MP

Battery – 2716mAh

Skrini – 5.8 inch (1125 x 2436 Pixels)

iOS – 11.1.1

 

Simu janja ipi unadhani ingefaa pia kuwa kwenye orodha ya simu bora ? Tuachie maoni yako au swali. Ahsante