Maujuzi: Jinsi ya kuangalia movie mtandaoni bila kuipakua

1547

Kabla hujaanza, kitu vya msingi kuwepo wakati ukifatiliza huu ujuzi ni kuwa na internet ambayo ina spidi nzuri, na bundle kubwa zaidi ya ukubwa wa movie unayotaka kuangalia, kama movie ina ukubwa wa GB 1 basi bundle yako internet iwe na ukubwa angalau GB 1.2

 

Tafuta Movie

Ingia kwenye site za torrents kama thepiratebay.org na kisha tafuta movie au series unayotaka kuangalia. Ukichagua movie hiyo, tafuta kitufe chenye alama ya sumaku ( magnet) na copy link yake kama picha inavyoonyesha

Angalia mtandaoni

Tembelea tovuti ya seedr.cc na utengeneze account au ingia na Facebook, kisha utaona sehemu ya kuweka linkBaada ya hapo Seedr itapakua hiyo movie kwenye server yao, utapewa chaguo la kuipakua moja kwa moja bila kutumia programu ya torrent, au bofya hiyo movie na itaanza kucheza hapo hapo bila kusubiri. Ingawa itategemea na spidi ya internet yako.

Soma pia:KOMPYUTA: Jinsi ya kuchagua kompyuta itakayofaa kutumia na aina za watumiaji

Seedr wanakupa ukubwa wa GB 2, ukitaka kuweka movie kubwa au movie nyingi kwa wakati mmoja itabidi ulipie huduma hiyo.