Njia nne za kufanya simu yako ya Android iwe haraka

2029

Hakuna mtu anataka simu yake iwe taratibu, lakini wengi wetu wamezoea kutumia vifaa vinavyokua na kasi mwanzoni na unavyozidi kutumia simu yako inapungua kasi, Habari njema ni kwamba huna haja ya kutupa smartphone yako. Leo nitakupa vidokezo vinne vya haraka uongeze utendaji wa simu yako na isigande

 

 

1. Futa programu ambazo hutumii

Programu yoyote ambayo hutumii mara kwa mara huchukua nafasi tu ya kuhifadhi na kufanya simu iwe slow zaidi. Kumbuka unaweza kuwaweka program tena ukiwa unahitaji.  Gusa na ushikilie kwenye skrini kwenye ikoni/picha ya programu kisha ipeleke juu kwenye kipicha cha dastibini kuifuta.

2.Futa cached data

Kama hautaki kufuta programu yako ya simu, unaweza kufuta cached data kwenye simu yako, kuna programu nyingine zinachukua nafasi kwenye simu kwa sababu zina hifazi data kwenye simu.

chagua program ambayo unata kuitoa. ibonyeze alafu ipeleke kwenye alama ya kuuliza juu imeandikwa(APP Info)

itatokea skrini ikionyesha maneno hayo chini.

Baada ya hapo bonyeza storage,

baada ya hapo itakuja skirini hii, bonyeza clear data. utachagua yes.

3. Punguza Animation.

Nenda kwa Simu Setting->About Phone , kisha gonga lebo ya Build number mara saba ili kuactivate kuingia Developer options kwenye menyu ya siri. Kutoka kwenye skrini hii, unaweza kuzima baadhi ya Animation zinazotumiwa kwenye Android(Drawing heading lower down).

Baada ya hapo, simu yako inapaswa kuwa haraka kidogo. Ikiwa unaona inasumbufu woyote, jaribu kupunguza kiwango cha uhuishaji hadi 0.5x badala yake. Kata chini ya vilivyoandikwa vya skrini ya nyumbani, na tumia Ukuta wa tuli (badala ya moja ya moja), ili kupunguza ufumbuzi kwenye rasilimali za mfumo wa simu yako.

4. Rudisha simu upya(factory reset).

njia ya ufanisi zaidi ya kuharakisha simu yako ni tu kufuta kila kitu na kuanza tena. Nenda kwenye Mipangilio(Setting) kisha Backup & reset  kufanya hivyo. Kikwazo ni kwamba kila kitu kifaa chako kinaharibika-hivyo unahitaji kuhakikisha umesisitiza data yako yote muhimu zaidi.