Ofa Ya Desemba: Pata account ya Spotify, Netflix, VPN, Antivirus na Website Hosting bure

1265

Mwezi huu wa Desemba tunatoa ofa mbali mbali kwa wafuatiliaji wa blog hii na mitandao yetu ya kijamii

 Zawadi za washindi ni kama zifuatazo:

 1. Account ya Spotify – Sikiliza music wowote duniani kwa urahisi
 2. Account ya VPN – Kulinda internet yako
 3. Account ya Netflix – Angalia Movie na Series bure na kwa urahisi
 4. Account ya Glammarly – Programu ya kusaidia usichapie kiingereza, inarekebisha kila unapoandika kwenye iPhone yako au kompyuta
 5. Website Hosting – Kwa ajili ya tovuti yako, bure kwa mwaka miezi 6
 6. Account ya Lynda.com – Tovuti yenye maelfu ya video za kuelimisha kuhusu biashara, teknolojia na mengineyo.

 

Jinsi ya kushiriki

 1. Tembelea account yetu Facebook au Twitter na kisha bofya follow au like.

2. Chagua nakala 3 tatu katika tovuti yetu, na share kwenye Facebook au Twitter yako,

3. Tutumie ujumbe mfupi baada ya kushare hizo nakala 3 kwenye mitandao ya kijamii kutuambia unataka offer gani.

 

Muhimu kujua

 • Tunatoa zawadi kwa watu 20 wa kwanza tu!
 • Ukishare nakala zaidi ya 3 utaweza kupata offer nyingi zaidi
 • Tutaamua sisi zawadi ipi tutakupa, na tunaweza kubadilisha.
 • Account hizo zimelipiwa si chini ya miezi 3.