Samsung ipo karibuni kuzindua Galaxy S9

845
Samsung S9

Kama ilivyo kawaida ya Samsung, mwezi ujao wa Februari watazinduo toleo jipya la Galaxy s9. Inasemekana toleo hilo litakua na kamera iliyoboreshwa kwa teknolojia mpya.

Baada ya Apple kuleta iPhone 8, iPhone 8 Plus na iPhone X mwaka jana mwishoni. Samsung wanakusudia kuleta Galaxy S9 yenye sifa bora zaidi.

Simu hiyo ya galaxy S9 na S9 plus inasemekana zitakua na sifa za kamera mbili, processor toleo jipya, uwezo wa kusoma alama za fingerprint kwenye kioo. Ingawa bado taarifa hizo sio za uhakika, hadi ifikapo Frebruari 25 ndo Samsung watazindua Galaxy S9 na kuelezea sifa zote za simu hiyo.

Soma Pia:

1. Samsung nayo yarushiwa vijembe na Huawei katika tangazo lao

Ni vitu gani ungependa Galaxy S9 ije navyo ? tuachie maoni yako. Ahsante