Samsung warekebisha muonekano wa ‘Emoji’ zake kwenye Android Oreo

827

Katika miaka ya nyuma, Samsung wamekua na muonekano wa Emoji ambao haupendezi, mara nyingi umeleta maana tofauti kati ya wanaowasiliana kwa ujumbe mfupi

Emoji ambayo iliongoza kwa kuwa na maana tofauti, ni ya ‘rolling-eyes’, ambayo simu za samsung zinaleta emoji tofauti na zimu nyingine kama iPhone, Microsoft, Goolge na mitandao ya kijamii Twitter na Facebook zina emoji zinazofanana kwa karibu

Kwa mfano unauliza chakula gani kwa usiku

Emoji kwenye simu ya Samsung

lakini mtu asiye tumia Samsung anapata Emoji ya hivi…

Emoji kwenye simu sio Samsung

ambayo inapoteza hisia

na hizi ndo Emoji mpya, nyingine hazina mabadiliko makubwa.

Emoji za juu za zamani, na mpya za chini

 

Soma Pia: Samsung nayo yarushiwa vijembe na Huawei katika tangazo lao

Pia toleo jipya la Emoji 5.0 huko mwezi Mei 2017 limeonyesha muongezeko wa Emoji mpya. Itachukua muda hadi kufikia simu zote za Samsung, kwani toleo hilo l Android Oreo halitapatikana kwa simu zote.