Teknolojia ya 3D Printing kusaidia miguu ya bandia huko Togo na Madagascar

205

Teknolojia ya uchapishaji wa 3D imeanza kusaidia wananchi wenye mguu mmoja kwa kuwatengenezea miguu ya bandia unaoendana maumbile na hitaji la kila mgonjwa.

Shirika la Humanity Inclusion linaendesha zoezi la misaada hiyo huko nchi za Madagascar, Togo na kuelekea Syria. Mpaka sasa zoezi hilo limeonyesha mafanikio kwa nchi hizo ambazo asilimia 15% wanahitaji vifaa vya kuwasaidia katika maumbile yao.

3D printing ni teknolojia inayokagua hitaji kwa kutumia 3D scanner na kisha kutengeneza na kama inavyohitajika kwa kutumia 3D printer.

Soma Pia: KENYA: Itaanza kutumia maputo ya Google kusambaza huduma ya internet

 

Ongea na mimi kwenye Twitter!