Waziri mstaafu wa Nigeria ateuliwa kwenye bodi ya Twitter na Jack Dorsey

137

Hongera zimetolewa na watumiaji mtandao wa kijamii huko Nigeria kwa waziri mstaafu wa fedha Ngozi Okonjo-Iweala huko Nigeria kwa uteuzi wake pamoja na Robert Zoellick kuwa wakurugenzi wa kujitegemea kwenye bodi ya Twitter.

Taarifa hiyo ilitolewa na CEO wa Twitter  Mr. Jack Dorsey kwa kusema

KENYA: Itaanza kutumia maputo ya Google kusambaza huduma ya internet vijijini

Viongozi hao watasaidia Twitter iwe salama na ya ukweli katika jamii na kutengeneza sera bora. Watumiaji wa mtandao wa kijamii Twitter kutoka Nigeria walitumia muda wao kushukuru uteuzi huo.

Ongea na mimi kwenye Twitter!