YOUTUBE: Video 10 za Tanzania zinazotamba kwa views mpaka sasa

1110

YouTube ni mtandao wa kijamii wa kushare video, inawatumiaji zaidi ya bilioni moja kwa mwezi. Views toka Tanzania zimeendelea kupanda hadi wastani wa zaidi ya milioni 20 kwa kila mwezi.

Kwa miaka mitano sasa wasanii toka Tanzania wanatumia sana YouTube kusambaza miziki yao, kama wasanii wengine duniani, sio lazima uwe mwanamziki ili uweke video yako YouTube kila mtu anaweza kuweka video yake YouTube na kulipwa.

YouTube view

Ukiangalia video YouTube kwa sekunde 30 inahesabika kama view moja, na pia hauwezi kununua views toka YouTube, YouTube hua wanahakikisha na kuthaminisha view. kama video yako haina maadili, na huna hati miliki video yako itafungiwa.

Soma Pia KRACK: Taarifa yatolewa simu janja hasa Android na kompyuta zote zenye Wi-Fi zipo hatarini

video 10 vinazoongoza kwa views youtube ni:-

10. Mdogo Mdogo ya Diamond Platnumz – 11,831,185 views

9. Mwana ya Alikiba – 11,848,199 views

8. Kidogo ya Diamond Platnumz ft P-square – 12,918,373 views

7. Nasema Nawe ya Diamond Platnumz ft Khadija Kopa –  14,984,910 views

6. Ntampata Wapi ya Diamond Platnumz – 15,836,644 views

5. Bado ya Harmonize ft Diamond Platnumz –  16,683,870 views

4. Marry You ya Diamond Platnumz ft P-square – 17,265,011

3. Salome ya Diamond Platnumz ft Ray Vanny – 19,160,691 views

2. Number One (remix) ya Diamond Platnumz ft Davido  – 28,661,911 views

1. Nana ya Diamond Platnumz ft Mr flavour – 33,187,960 views

Diamond Platnumz anavideo nyingi zenye views nyingi ambazo zimeangaliwa zaidi YouTube pia ni msanii toka Tanzania mwenye subscribers wengi. na hii ndio list ya videos zinazoongoza kwa views Youtube.