Zimbabwe itatumia teknolojia ya alama za vidole kwa uchaguzi mkuu 2018

617

Serikali ya Zimbabwe imetangaza kuingia mkataba na shirika la Ipsidy lenye teknolojia za vipimo vya alama za vidole huko nchini marekani

Vifaa hivyo kwa hardware na sofware vitasambazwa vikiwa na teknolojia ya Automated Fingerprint Identification (“AFIS”) ambayo itatumika kwenye uchaguzi mkuu mwaka huuIpsidy imesema itasaidia kuwezesha utendaji kazi uwe mrahisi na salama katika kuhesabu kura na kutunza kumbukumbu.

Taarifa hizo zimetoka baada ya miezi michache kutangazwa kujihuzulu kwa raisi Robert G. Mugabe, baada ya kutawala kwa miaka mingi na kutuhumiwa na kashfa ya udanyanyifu kwenye uchaguzi wake kila kipindi.

Soma Pia: Facebook yapata kashfa nzito kuhusu uchaguzi mkuu wa Kenya

 

Ongea na mimi kwenye Twitter, nitakujibu!